Ufafanuzi wa nyende katika Kiswahili

nyende

nomino

  • 1

    sauti inayoghasi masikio kama ile itolewayo na baadhi ya wadudu.

Matamshi

nyende

/ɲɛndɛ/