Ufafanuzi wa nyenyekevu katika Kiswahili

nyenyekevu

kivumishi

  • 1

    -enye tabia ya kunyenyekea.

    raufu, tiifu

Matamshi

nyenyekevu

/ɲɛɲɛkɛvu/