Ufafanuzi wa nyerere katika Kiswahili

nyerere

nominoPlural nyerere

  • 1

    uzi mwembamba wa madini ambao baadhi ya makabila huutumia kuwa ni pambo la kujizingirisha mikononi na miguuni.

Matamshi

nyerere

/ɲɛrɛrɛ/