Ufafanuzi wa nyika katika Kiswahili

nyika

nominoPlural nyika

  • 1

    sehemu inayoota nyasi na miti michache mifupi na midogo.

    mbuga

Matamshi

nyika

/ɲika/