Ufafanuzi wa nyonge katika Kiswahili

nyonge

kivumishi

  • 1

    -enye kukosa nguvu; -siokuwa na uwezo wowote.

    ‘Mtu mnyonge’
    dhaifu, hafifu, tule, dhalili, hakiri, maskini, dhilifu

Matamshi

nyonge

/ɲɔngɛ/