Ufafanuzi msingi wa nyonyo katika Kiswahili

: nyonyo1nyonyo2

nyonyo1

nominoPlural nyonyo

 • 1

  mbegu za mbono.

  mbarika, mbono

Matamshi

nyonyo

/ɲɔɲɔ/

Ufafanuzi msingi wa nyonyo katika Kiswahili

: nyonyo1nyonyo2

nyonyo2

nominoPlural nyonyo

 • 1

  ncha ya titi.

 • 2

  mpira mfano wa chuchu anaobembelezewa mtoto mchanga asilie au unaotiwa maziwa kwa ajili ya mtoto kunyonya.

Matamshi

nyonyo

/ɲɔɲɔ/