Ufafanuzi wa nyopoa katika Kiswahili

nyopoa

kitenzi elekezi

  • 1

    toa kitu katika kiungo chake.

Matamshi

nyopoa

/ɲɔpɔwa/