Ufafanuzi wa nyowe katika Kiswahili

nyowe

nomino

  • 1

    panzi mrefu ambaye hukaa ndani ya mhindi wakati bado haujatoa punga.

Matamshi

nyowe

/ɲɔwɛ/