Ufafanuzi wa nyuka katika Kiswahili

nyuka

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    piga kwa nguvu; piga sana.

Matamshi

nyuka

/ɲuka/