Ufafanuzi wa nyukilia katika Kiswahili

nyukilia

nominoPlural nyukilia

  • 1

    kiini cha atomu chenye chaji chanya.

  • 2

    kiini cha seli au mbegu.

Matamshi

nyukilia

/ɲukilija/