Ufafanuzi wa nyumbulika katika Kiswahili

nyumbulika

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa na uwezo wa kuongezeka kwa urefu au ukubwa.

    ‘Mpira huu ni mgumu sana, haunyumbuliki kwa urahisi’

Matamshi

nyumbulika

/ɲumbulika/