Ufafanuzi wa nyunya katika Kiswahili

nyunya

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    nyesha kwa mvua ya manyunyu au rasharasha.

    ‘Mvua inanyunya’
    nyonyota, chonyota

Matamshi

nyunya

/ɲuɲa/