Ufafanuzi wa oa katika Kiswahili

oa

kitenzi elekezi~ana, ~lea, ~leana, ~leka, ~lewa, ~za

  • 1

    fanya muungano na mwanamke ili kukaa pamoja naye kama mke na mume kulingana na sheria, mila, desturi au taratibu za ndoa za mahali panapohusika.

  • 2

    funga ndoa; funga nikaha.

Matamshi

oa

/ɔwa/