Ufafanuzi wa oda katika Kiswahili

oda

nomino

  • 1

    agizo la mdomo au la kuandika la kutaka vitu au huduma fulani kwa malipo.

Asili

Kng

Matamshi

oda

/ɔda/