Ufafanuzi wa ombwe katika Kiswahili

ombwe

nominoPlural mombwe

  • 1

    uwazi katika kitu kilichotolewa hewa.

  • 2

    mzunguko wa kisima unaozuia watekamaji wasiingie ndani ya kisima.

Matamshi

ombwe

/ɔmbwɛ/