Ufafanuzi wa onea katika Kiswahili

onea

kitenzi elekezi~ana, ~lea, ~leana, ~leka, ~lesha, ~lewa, ~wa

  • 1

    fanyia mtu jambo la dhuluma au mateso, agh. aliye chini yako.

    nyanyasa, dhulumu

Matamshi

onea

/ɔnɛja/