Ufafanuzi msingi wa operesheni katika Kiswahili

: operesheni1operesheni2

operesheni1

nomino

  • 1

    upasuaji anaofanyiwa mgonjwa na daktari ili kumtibu.

    upasuaji

Asili

Kng

Matamshi

operesheni

/ɔpɛrɛ∫ɛni/

Ufafanuzi msingi wa operesheni katika Kiswahili

: operesheni1operesheni2

operesheni2

nomino

  • 1

    shughuli zinazofanywa kwa muda maalumu ili kutatua tatizo katika jamii.

Asili

Kng

Matamshi

operesheni

/ɔpɛrɛ∫ɛni/