Ufafanuzi wa orodha katika Kiswahili

orodha

nominoPlural orodha

  • 1

    mlolongo wa vitu au majina ya vitu vilivyoandikwa.

    ‘Orodha ya majina ya wanafunzi’

Asili

Kar

Matamshi

orodha

/ɔrɔða/