Ufafanuzi wa orodhesha katika Kiswahili

orodhesha

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~wa

  • 1

    andika majina ya vitu, watu, n.k. kwa mfuatano maalumu ili kupata idadi.

Asili

Kar

Matamshi

orodhesha

/ɔrɔðɛ∫a/