Ufafanuzi msingi wa ovyo katika Kiswahili

: ovyo1ovyo2

ovyo1 , ovyoovyo

kielezi

  • 1

    bila ya kufuata utaratibu; bila ya mpango.

    kivoloya, hobelahobela, shaghalabaghala, zigizaga, kijuujuu, segemnege, fujo, horera

Matamshi

ovyo

/ɔvjɔ/

Ufafanuzi msingi wa ovyo katika Kiswahili

: ovyo1ovyo2

ovyo2

kivumishi

  • 1

    -sio na maana.

    wahshi, bure

Matamshi

ovyo

/ɔvjɔ/