Ufafanuzi wa pa katika Kiswahili

pa

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~ewa

  • 1

    toa kitu kwa mwingine.

    ‘Amenipa pesa’
    kabidhi, patia, toa

Matamshi

pa

/pa/