Ufafanuzi wa paaza katika Kiswahili

paaza

kitenzi elekezi

  • 1

    saga punje k.v. nafaka za mahindi au mtama kwa kuzipitisha kati ya vitu viwili vigumu k.m. mawe.

Matamshi

paaza

/pa:za/