Ufafanuzi wa pagawa katika Kiswahili

pagawa

kitenzi sielekezi

  • 1

    ingiwa au pandwa na pepo mbaya kichwani.

    ‘Amepagawa na pepo’

  • 2

    changanyikiwa

Matamshi

pagawa

/pagawa/