Ufafanuzi wa pakata katika Kiswahili

pakata

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    weka kwenye mapaja.

Matamshi

pakata

/pakata/