Ufafanuzi wa pambamoto katika Kiswahili

pambamoto

kitenzi sielekezi

  • 1

    shika kasi au nguvu zaidi kwa kitu k.v. vita, ugomvi, ugonjwa au sherehe.

  • 2

    (nh) kuongezeka kwa jambo fulani.

    ‘Siku hizi wizi wa magari umepambamoto jijini’
    shamiri

Matamshi

pambamoto

/pambamɔtɔ/