Ufafanuzi wa pambanua katika Kiswahili

pambanua

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liana, ~liwa, ~sha

  • 1

    onyesha tofauti waziwazi.

    fafanua, fasili, tanzua

Matamshi

pambanua

/pambanuwa/