Ufafanuzi wa pamia katika Kiswahili

pamia

kitenzi elekezi

  • 1

    gonga kitu kwa nguvu wakati kinachogonga kiko kwenye mwendo wa kasi.

Matamshi

pamia

/pamija/