Ufafanuzi msingi wa pampu katika Kiswahili

: pampu1pampu2

pampu1

nominoPlural pampu

  • 1

    kifaa kinachotumiwa kusukuma au kuvuta kitu k.v. upepo au kiowevu.

Asili

Kng

Matamshi

pampu

/pampu/

Ufafanuzi msingi wa pampu katika Kiswahili

: pampu1pampu2

pampu2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    sukuma au vuta kitu k.v. upepo au kiowevu.

Matamshi

pampu

/pampu/