Ufafanuzi wa pancha katika Kiswahili

pancha, panchari

nominoPlural pancha

  • 1

    mpasuko au tundu, agh. katika gurudumu la gari au baiskeli.

Asili

Kng

Matamshi

pancha

/pantʃa/