Ufafanuzi msingi wa panda katika Kiswahili

: panda1panda2panda3panda4panda5panda6

panda1

nominoPlural panda, Plural mapanda

 • 1

  mgawanyiko katika kitu k.v. njia, mti au nguzo.

  ‘Njia panda’

Matamshi

panda

/panda/

Ufafanuzi msingi wa panda katika Kiswahili

: panda1panda2panda3panda4panda5panda6

panda2

nominoPlural panda, Plural mapanda

Matamshi

panda

/panda/

Ufafanuzi msingi wa panda katika Kiswahili

: panda1panda2panda3panda4panda5panda6

panda3

nominoPlural panda, Plural mapanda

 • 1

  paji la uso.

  panja

Matamshi

panda

/panda/

Ufafanuzi msingi wa panda katika Kiswahili

: panda1panda2panda3panda4panda5panda6

panda4

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  enda kuelekea juu ya kitu k.v. mti, gari au mlima.

  ‘Gari linapanda mlima’
  kwea

 • 2

  ‘Bei ya maziwa imepanda’
  ongezeka

 • 3

  ingia katika chombo cha kusafiria.

  ‘Panda gari’
  ‘Panda jahazi’

Matamshi

panda

/panda/

Ufafanuzi msingi wa panda katika Kiswahili

: panda1panda2panda3panda4panda5panda6

panda5

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  weka mbegu au mche katika ardhi ili ukue.

 • 2

  weka bima katika mashindano.

Matamshi

panda

/panda/

Ufafanuzi msingi wa panda katika Kiswahili

: panda1panda2panda3panda4panda5panda6

panda6

nominoPlural panda, Plural mapanda

Matamshi

panda

/panda/