Ufafanuzi wa pandu katika Kiswahili

pandu

nominoPlural pandu

  • 1

    samaki mweupe, mpana na mrefu anayefanana na kolekole lakini hana minofu, na nyama yake imepooza kidogo.

Matamshi

pandu

/pandu/