Ufafanuzi wa pangana katika Kiswahili

pangana

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kaa mahali kwa utaratibu fulani.

    ‘Watu wamepangana langoni wakisubiri kuingia uwanjani’

Matamshi

pangana

/pangana/