Ufafanuzi wa pania katika Kiswahili

pania

kitenzi elekezi~ana, ~ika, ~sha, ~wa

 • 1

  pandisha nguo juu kwa kuishika kwenye upindo.

  sega

 • 2

  kazana ili kufanya jambo lililokusudiwa.

 • 3

  dhamiria, kamia

Matamshi

pania

/panija/