Ufafanuzi wa panja katika Kiswahili

panja

nominoPlural mapanja

  • 1

    paji la uso.

    panda

  • 2

    unyoaji nywele upande mmoja.

    denge

Matamshi

panja

/panʄa/