Ufafanuzi wa paramamba katika Kiswahili

paramamba

nominoPlural paramamba

  • 1

    samaki jamii ya changu, mrefu kiasi, mwenye magamba mapana ya mchanganyiko wa rangi nyeupe, nyeusi na ya manjano.

Matamshi

paramamba

/paramamba/