Ufafanuzi wa paruwanja katika Kiswahili

paruwanja

kielezi

  • 1

    vivi hivi.

  • 2

    ‘Hili tusi huenda lingekuwa ni kali zaidi kama lingetolewa paruwanja’
    waziwazi

Matamshi

paruwanja

/paruwanʄa/