Ufafanuzi wa paruza katika Kiswahili

paruza

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    ondoa kitu juu ya kitu kingine kwa kutumia chombo fulani k.v. kupiga randa au kupiga ubao msasa.

  • 2

    kwaruza kwa kucha.

Matamshi

paruza

/paruza/