Ufafanuzi wa patwa katika Kiswahili

patwa

kitenzi sielekezi

  • 1

    kupoteza mwanga kutokana na kivuli cha sayari.

Matamshi

patwa

/patwa/