Ufafanuzi msingi wa paua katika Kiswahili

: paua1paua2

paua1

kitenzi elekezi~iwa, ~ka, ~lia, ~liana, ~sha, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    fanya rangi kufifia; pararisha.

Matamshi

paua

/pawuwa/

Ufafanuzi msingi wa paua katika Kiswahili

: paua1paua2

paua2

kitenzi elekezi~iwa, ~ka, ~lia, ~liana, ~sha, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    weka pau katika paa la nyumba au jengo.

Matamshi

paua

/pawuwa/