Ufafanuzi wa paukwa! katika Kiswahili

paukwa!

kiingizi

  • 1

    neno linalotumiwa na mtoaji ngano anapoanza kusimulia na wasikilizaji huitikia ‘Pakawa!’.

Matamshi

paukwa!

/pawukwa/