Ufafanuzi wa pazia katika Kiswahili

pazia

nominoPlural mapazia, Plural pazia

  • 1

    kitambaa, agh. kikubwa, kinachofungwa kwenye dirisha, mlango au jukwaani kusitiri mahali.

Matamshi

pazia

/pazija/