Ufafanuzi wa pedeli katika Kiswahili

pedeli

nominoPlural pedeli

  • 1

    kikanyagio katika baiskeli ambacho mwendeshaji hukikanyaga kwa nguvu ili kuzungushia mnyororo na kusababisha baiskeli kwenda; kikanyagio.

Asili

Kng

Matamshi

pedeli

/pɛdɛli/