Ufafanuzi wa peleleza katika Kiswahili

peleleza

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~wa

  • 1

    tafuta habari za watu zisizokuhusu na, agh. kwa madhumuni mabaya.

  • 2

    tafuta habari ili kupata hakika ya jambo.

    pekua, chungua, doya, andama, jasisi, tafiti, dabiri, hakiki, fatiisha, tunduia

Matamshi

peleleza

/pɛlɛlɛza/