Ufafanuzi wa pembejeo katika Kiswahili

pembejeo

nomino

  • 1

    vitu k.v. mbegu, dawa na mbolea kwa ajili ya kilimo.

Matamshi

pembejeo

/pɛmbɛʄɛwɔ/