Ufafanuzi wa pembetatu pacha katika Kiswahili

pembetatu pacha

nominoPlural pembetatu pacha

Hesabu
  • 1

    Hesabu
    umbo lililoundwa kwa mistari mitatu inayokutana katika ncha mbili zinazolingana.

Matamshi

pembetatu pacha

/pɛmbɛtatu patʃa/