Ufafanuzi wa pembezoni katika Kiswahili

pembezoni

nominoPlural pembezoni

  • 1

    kandokando ya; pembeni mwa.

    ‘Matunda haya yanapatikana pembezoni mwa mji’

Matamshi

pembezoni

/pɛmbɛzɔni/