Ufafanuzi wa penolojia katika Kiswahili

penolojia

nomino

  • 1

    taaluma inayohusu uendeshaji wa magereza na adhabu mbalimbali zitolewazo kwa wahalifu.

Asili

Kng

Matamshi

penolojia

/pɛnɔlɔʄia/