Ufafanuzi wa penseli katika Kiswahili

penseli

nominoPlural penseli

  • 1

    kalamu ya risasi ambayo maandishi yake ni rahisi kufuta kwa kifutio.

Asili

Kng

Matamshi

penseli

/pɛnsɛli/