Ufafanuzi wa pensheni katika Kiswahili

pensheni

nominoPlural pensheni

  • 1

    malipo ya fedha anayopewa mtu aliyestaafu.

    mafao, kiinuamgongo

Asili

Kng

Matamshi

pensheni

/pɛn∫ɛni/