Ufafanuzi wa penyenye katika Kiswahili

penyenye

nominoPlural penyenye

  • 1

    habari ambazo hazijajitokeza barabara au hazijathibitika.

    mnong’ono, fununu

  • 2

    nafasi ndogo ambapo kitu au mtu hupita kwa shida.

Matamshi

penyenye

/pɛɲɛɲɛ/